EXCLUSIVE:Mapya Yaibuka Kuhusu KOMBA!Mkewe Aelezea Familia ili chofanya!
Global TV Online
0:00 / 0:00
EXCLUSIVE:Mapya Yaibuka Kuhusu KOMBA!Mkewe Aelezea Familia ili chofanya!
14 072 просмотра · 7 лет назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
14 072 просмотра · 7 лет назад
EXCLUSIVE: JENGO la Makumbusho ya Kumuenzi KOMBA ni BALAA!
Ikiwa ni miaka minne imepita tangu kufariki kwa Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi Mkoani Ruvuma kwa tiketi ya CCM, Kepteni John Komba, Global TV imeitembelea familia yake nyumbani wanapoishi na kuzungumza na mkewe...
Global TV imejionea Ujenzi wa kisasa unaoendelea nyumbani hapo ambapo ndani yake kutakuwa na Makumbusho ya Kumuenzi muasisi huyo na mwanamuziki aliyekuwa akitunga na kuimba nyimbo za CCM...
Kapteni John Komba alifariki dunia, Februari 28, 2015 na Kuacha Pigo kubwa kwa Familia yake, Chama Cha Mapinduzi CCM, Jimboni kwake (Mbinga Magharibi) Bendi aliokuwa akiitumikia ya T.O.T chini ya CCM pamoja na Taifa zima kwa ujumla.
Kupitia Kipindi hiki Maalumu utajifunza Mengi aliyoyafanya enzi za Uhai wake lakini pia kuhamasika kuchangia ujenzi wa Makumbusho yake.
#RIPKAPTENIKOMBA
https://www.youtube.com/watch?v=N1X-f... Watch More Videos here: https://goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: https://goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: www.facebook.com/globalpublishers Instagram:
www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: https://goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: https://goo.gl/2jDy