Перейти к содержимому

KILIMO SHAMBANI || Miche milioni 2 ya kahawa ya robusta kufikisha lengo la tani 300,000 mwaka 2025

Azam TV

0:00 / 0:00

KILIMO SHAMBANI || Miche milioni 2 ya kahawa ya robusta kufikisha lengo la tani 300,000 mwaka 2025

831 просмотр · 4 года назад
Azam TV
3,3 млн подписчиков
831 просмотр · 4 года назад
Naibu waziri wa kilimo, Anthony Mavunde amegawa miche zaidi ya milioni mbili ya zao la kahawa aina ya robusta ili kuwahamasisha wakulima wa Kagera kufikia lengo la uzalishaji wa tani laki 3 kufikia 2025. Je, hatua hii italeta mafanikio kwa kiasi gani? Ungana na Jamal Hashim kwenye MAKALA YA SHAMBANI kufahamu zaidi.