Перейти к содержимому

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY- THE SCHOOL OF HEALING - 03 JAN 2024

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

0:00 / 0:00

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY- THE SCHOOL OF HEALING - 03 JAN 2024

4 307 просмотров · Трансляция закончилась 2 года назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
65,4 тыс. подписчиков
4 307 просмотров · Трансляция закончилась 2 года назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY- THE SCHOOL OF HEALING - 03 JAN 2024 UJUMBE WA LEO: WAKATI WA KUIMARISHWA NA WAKATI WA KUFURAHISHWA [STRONG THEN HAPPY] Waefeso 3 : 16 - 20 Mithali 24 : 10 Yohana 15 : 7 Warumi 10 : 17 1 Wakoritho 1 : 18 Yakobo 5 : 16 Waefeso 3 : 16 - 20 16 awajalieni, kwa kadiri ya utajiri wa utukufu wake, kufanywa imara kwa nguvu, kwa kazi ya Roho wake katika utu wa ndani. 17 Kristo akae mioyoni mwenu kwa imani mkiwa na shina na msingi katika upendo; 18 ili mpate kufahamu pamoja na watakatifu wote jinsi ulivyo upana, na urefu, na kimo, na kina; 19 na kuujua upendo wake Kristo, upitao ufahamu kwa jinsi ulivyo mwingi, mpate kutimilika kwa utimilifu wote wa Mungu. 20 Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu; Mithali 24 : 10 10 Ukizimia siku ya taabu, Nguvu zako ni chache. Yohana 15 : 7 7 Ninyi mkikaa ndani yangu, na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni mtakalo lote nanyi mtatendewa. Warumi 10 : 17 17 Basi imani, chanzo chake ni kusikia; na kusikia huja kwa neno la Kristo. 1 Wakoritho 1 : 18 18 Kwa sababu neno la msalaba kwao wanaopotea ni upuzi, bali kwetu sisi tunaookolewa ni nguvu ya Mungu. Yakobo 5 : 16 16 Ungameni dhambi zenu ninyi kwa ninyi, na kuombeana, mpate kuponywa. Kuomba kwake mwenye haki kwafaa sana, akiomba kwa bidii. AGENDA ZA MAOMBI 1. Mshukuru Mungu 2. Omba Neema ya Mungu juu ya Maisha yako. 3. Omba Mungu AINGILIE kati (AJITOKEZE) Mhubiri: Mwl. Eng. Goodluck Mushi Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053 Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga Simu: +255 713 553 443 YouTube: Kijitonyama Lutheran church Barua Pepe: Kijitonyamalutheran@gmail.com