Перейти к содержимому

Hemedi music Mama mkwe official video

IT PROMAX

0:00 / 0:00

Hemedi music Mama mkwe official video

2 146 просмотров · 7 лет назад
IT PROMAX
949 подписчиков
2 146 просмотров · 7 лет назад
Hemedi ni msanii hodari sana Zanzibar kupita wasanii wengi sana wanao chipukia. Lakini pia hemedi ni msanii ambae anamilikiwa na label ya MK records iliyopo kibanda maiti. Maisha ya msanii hemedi ni magumu lakini hupata faraja anapokua studio na hupata faraja pia anakua anapata sapot kutoka kwa baba yake na producer wake Mk na stopa the beat. Hemedi kwa sasa ndio msanii star Zanzibar na atauvusha mziki mbali kutokana na ndoto zake.. Shusha comment yako chini Inayohusiana na star huyu.