DAY 3🔥 Eee MUNGU NIJALIE KKUSHINDA KILA VITA | MBINU NA NJIA ANAZO TUMIA MUNGU KUNIPA USHINDI
YAWEZEKANA Tv
0:00 / 0:00
DAY 3🔥 Eee MUNGU NIJALIE KKUSHINDA KILA VITA | MBINU NA NJIA ANAZO TUMIA MUNGU KUNIPA USHINDI
523 просмотра · Трансляция закончилась 4 месяца назад
YAWEZEKANA Tv
7,89 тыс. подписчиков
523 просмотра · Трансляция закончилась 4 месяца назад
Je, unapitia vita vya kiroho, kifamilia, kifedha, au vya hatima yako? Katika somo hili lenye nguvu utajifunza siri za kibiblia za kushinda kila vita vinavyoinuka dhidi ya maisha yako. Mungu hajakuumba kwa ajili ya kushindwa bali kwa ajili ya ushindi.
Kupitia Neno la Mungu utaona jinsi Daudi alivyomshinda Goliathi, Danieli alivyosimama katikati ya simba, na Yehoshafati alivyoshinda vita kwa kumtegemea Mungu. Somo hili litakujenga katika imani, maombi, utiifu, na matumizi ya Neno la Mungu kama silaha ya ushindi.
📖 Andiko Kuu: Isaya 54:17
"Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa..."
Tazama mpaka mwisho, omba pamoja nasi, na usisahau kushiriki ujumbe huu kwa wengine ili nao wapate nguvu za kushinda kila vita vya maisha.
🔔 Subscribe: Yawezekana TV
👍 Like
💬 Comment
📤 Share
#KushindaKilaVita #MaombiYaNguvu #NenoLaMungu #Ushindi #YawezekanaTV #Isaya5417 #Mahubiri #Injili #Maombi #SpiritualWarfare #WilliamMchome #ChristianTeaching #JesusChrist #BibleStudy #Faith #Prayer #GospelSwahili
Kwa maombi, ushauri au kushiriki katika huduma:
Mixx by Yas: +255 656 870 833
Kama umebarikiwa na huduma hii:
• *Subscribe* kwenye channel
• *Share* video hizi ili Injili iwafikie wengine
• *Comment* ili tushirikiane katika maombi
📍 Location: Dar es Salaam – Tanzania
*YAWEZEKANA TV – Mafundisho ya Neno la Mungu Yanayobadilisha Maisha.*
#NenoLaMungu #Maombi #Biblia #Injili #Prayer #BibleTeaching #SwahiliSermons