Msikilize Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba katika hotuba yake wakati akihairisha Bunge la 13 Dodoma.
Tume ya Madini
0:00 / 0:00
Msikilize Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba katika hotuba yake wakati akihairisha Bunge la 13 Dodoma.
82 просмотра · 10 дней назад
Tume ya Madini
421 подписчик
82 просмотра · 10 дней назад
#KutokaBungeni
Aliyoyasema Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mwigulu Nchemba katika hotuba yake wakati akihairisha Mkutano wa Nne, Bunge la 13 jijini Dodoma.
📍 Dodoma
✅Sekta ya Madini imeendelea kuwa Nguzo Kuu ya Uchumi wa Taifa la Tanzania na kuwa miongoni mwa Sekta Vinara inayochangia Pato la Taifa.
✅Aipongeza Wizara, ampongeza Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde kwa kusimamia vyema maelekezo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Hassan ya kufanya Mageuzi kwenye Sekta ya Madini.
✅Awapongeza wadau wa Sekta ya Madini kwa mchango wao mkubwa wanaoufanya kwenye kuchochea Uchumi.
✅Agusia changamoto za tozo, ataka Wizara na Mamlaka zinazohusika kukaa pamoja na kuzifanyia kazi haraka.
✅Aelekeza kufutwa kwa Leseni na Vibali vya Madini vilivyoshikiliwa kwa muda mrefu na kupewa watanzania na vijana. Ataka wasiotaka kufutiwa leseni zao waziendeleze.
#MadiniNiMaisha
#MadiniNiUtajiri