Перейти к содержимому

IBADA YA KWANZA

AMM tv

0:00 / 0:00

IBADA YA KWANZA

46 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
AMM tv
421 подписчик
46 просмотров · Трансляция закончилась 1 г. назад
Karibuni katika Kanisa, TAG, Sayuni, Isamilo, Mwanza, ibada zetu za wiki ni Jumatano, ibada ya watu wote, Ijumaa ni Ibada ya maombi na maombezi na Jumapili, ibada ya kwanza inaanza saa 1:00 asubuhi, na ibada ya pili inaanza saa 4:30 asubuhi, popote ulipo unaweza kuungana nasi kwa njia ya mtandao kupitia ukurasa wetu wa kijamii facebook, bila kusahau ku like page yetu ya facebook na YouTube,:- AMM.tv, kwa njia ya imani yote yanawezekana (Marko 9:23), umbali sio kizuizi, ukiamini utapokea muujiza wako katika jina la Yesu Kristo, usisahau kualikia ndugu jamaa na marafiki, Kwa ushauri, maombi na maombezi, wasiliana nasi kwa namba 0754637982, Mungu akubariki sana.