Перейти к содержимому

UCHANGANUZI | Mchakato wa kumpata Makamu wa Rais

UTV Tanzania

0:00 / 0:00

UCHANGANUZI | Mchakato wa kumpata Makamu wa Rais

6 947 просмотров · 2 дня назад
UTV Tanzania
180 тыс. подписчиков
6 947 просмотров · 2 дня назад
Mchakato wa kumpata Makamu wa Rais mpya umeanza baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kuridhia kujiuzulu kwa Dkt. Emmanuel Nchimbi. Kwa mujibu wa utaratibu, mchakato huo unapitia hatua mbili, ukianza ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kabla ya kuwasilishwa Bungeni kwa ajili ya hatua inayofuata. Kwa mujibu wa Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977, mchakato huo unatakiwa kukamilika ndani ya siku 14. #AzamTVUpdates Mhariri | John Mbalamwezi