WATU 8 AMBAO SWALA ZAO HAZIKUBALIWI | USTADH SHAFI ALI KOFA
Masjid Taqwa Mnarani
0:00 / 0:00
WATU 8 AMBAO SWALA ZAO HAZIKUBALIWI | USTADH SHAFI ALI KOFA
37 просмотров · 1 месяц назад
Masjid Taqwa Mnarani
1,08 тыс. подписчиков
37 просмотров · 1 месяц назад
🕌 KHUTBA YA IJUMAA | WATU 8 AMBAO SWALA ZAO HAZIKUBALIWI
Je, unajua kwamba kuna watu ambao Swala zao hazikubaliwi mpaka warekebishe hali zao? Katika khutba hii yenye mawaidha na dalili, Ustadh Shafi Ali Kofa anaeleza kuhusu watu wanane ambao Swala zao hazikubaliwi na mambo tunayopaswa kujiepusha nayo ili ibada zetu zikubaliwe mbele ya Allah (SWT).
🎙️ Khatib: Ustadh Shafi Ali Kofa
📍 Masjid Taqwa Mnarani
🔔 Usisahau:
✅ Subscribe
👍 Like
💬 Toa maoni yako
📤 Shiriki video hii ili wengine wanufaike
#KhutbaYaIjumaa #Swala #UstadhShafiAliKofa #MasjidTaqwaMnarani #Islam #Mawaidha #Dini #Kiislamu #Jumaa #Taqwa