SIFA NA SIFA NINA KUPA YESU
Divine Modesty
0:00 / 0:00
SIFA NA SIFA NINA KUPA YESU
21 463 просмотра · 6 л. назад
Divine Modesty
5,83 тыс. подписчиков
21 463 просмотра · 6 л. назад
1:/: Sifa na sifa ninakupa Yesu, kweli nimwimbie Mungu :/: :/: Sifa, sifa na sifa kwa Yesu. :/:
2:/: Maombi yangu Bwana yakufikie, ee! Mungu wa heri yangu.:/:
3:/: Sitaki kuomba-omba kama ndege, kulia-lia porini. :/:
4:/: Na sasa roho yangu inasimama. Kweli nimwimbie Mungu. :/:
5:/: Na watakatifu wanasimama, wanamwimbia Mwokozi. :/:
6:/: Tuna huzuni ya wandugu wetu. Wako kwa giza ya dhambi. :/: