NINAKUABUDU MUNGU WANGU - JOSEPH MAKOYE | TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)
Jugo Media Network
0:00 / 0:00
NINAKUABUDU MUNGU WANGU - JOSEPH MAKOYE | TANZANIA ORGANISTS SOCIETY (TOS)
8 031 просмотр · 6 лет назад
Jugo Media Network
215 тыс. подписчиков
8 031 просмотр · 6 лет назад
Wimbo - Ninakuabudu Mungu Wangu
Mtunzi - Joseph Makoye
Organist - Lazarus Patiu
Church/Location - Parokia ya Chuo Kikuu UDSM
Society - Tanzania organists Society (TOS)
Video Credit- Jugo Media
Maneno ya wimbo
1. Ninakuabudu Mungu wangu, Unayejificha altareni
Ninakutolea moyo wangu, usiofahamu siri yako.
2. Mafahamu yangu yadanganya, Yanapokuona na kugusa
Namsadiki Yesu hadanganyi, Yeye Mungu Mwana na ukweli
3. Waficha Umungu msalabani, Na ubinadamu altareni
Nami na ungama yote mbili, Kama mwivi yule mwenye toba.
4. Thomaso aligusa majeraha, Nami nasadiki bila shaka
Ewe Yesu nipe pendo lako, Tumani kwako na imani
5. Umeteswa nini Bwana mwema, Kwa kunipa mkate wa uzima
Yesu unifiche ndani yako, Ili nilionje pendo lako
6. Yesu Pellicane utazame, Na kwa damu yako nitakase
Tone moja ndilo linatosha, na dunia yote yaokoka
7. Ndani ya mafumbo Yesu yumo, Utafunguliwa kwangu lini?
Nikuone Yesu uso wako, Nishiriki nawe heri yako
Amina, Amina
Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: / jugo_media
Facebook: / jugomedia2019
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa