Перейти к содержимому

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - 05 NOVEMBER 2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

0:00 / 0:00

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - 05 NOVEMBER 2026

5 338 просмотров · Трансляция закончилась 7 ч назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
67 тыс. подписчиков
5 338 просмотров · Трансляция закончилась 7 ч назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - 05 NOVEMBER 2026 SEMINA YA MAFUNGO YA KUMALIZA MWAKA 2026 NA KUOMBEA MWAKA MPYA 2027. SIKU YA NNE MADA KUU/ SOMO: NYUMBA YA UTUMWA Kutoka 20:2 Marko 3:27 Nyumba ya Utumwa:- Ni mfumo wa Maisha ambao wanaoishi hawana sauti ya mwisho juu ya hatima zao Waefeso 2:1-3 VITU VITAKAVYOKUTOA KATIKA NYUMBA YA UTUMWA 1: MKONO WA NGUVU Kumbukumbu la torati 7:7-8 Kumbukumbu la torati 26:8 Mkono wa nguvu- Nguvu za Mungu zinazoachiliwa kwako ili ushirikiane nazo kuleta mabadiliko yaliokusudiwa. MKONO WA NGUVU JUU YA MIUNGU INAYOKUSHIKILIA KATIKA NYUMBA YA UTUMWA 1.Miungu inaweza kumshikilia mtu katika nyumba ya utumwa Kumbukumbu 7:7-8 Kutoka 12:12 2Wafalme 17:6 Marko 3:27 Namna ya kuachilia mkono wa nguvu juu ya Miungu 1. Imarisha imani yako juu ya ukuu wa Mungu uliye naye kwa kutafakari ukuu huo. Kutoka 18:8-11 A) Mungu ni mkuu kuliko miungu yote B) Mungu ni mfalme mkuu juu ya miungu yote Zaburi 95:1-3 C) Mungu ni wa kuhofiwa kuliko miungu yote Zaburi 96:4-5 Waebrania 2:14-15 2: Tumia damu ya Yesu Kristo Ya passka ikutoe katika Nyumba ya utumwa. Kutoka 12:11 Kutoka 12:7,13 1Korintho 5:7 Agenda za maombi. 1. ⁠Shughulikia madhara ya uchungu kwenye maisha yako binafsi kwenye eneo la :- Afya ⁠Akili na ufaham ⁠Maamuzi ⁠Ujasiri 2.Omba Mkono wa nguvu Ukutoe katika Nyumba ya Utumwa. 3. Tangaza ukuu wa Mungu ili kuachilia nguvu za Mungu juu ya miungu 4. Tumia Damu ya Yesu katika maombi ili utoke katika utumwa. Mhubiri: Mwl Benjamin Abeli Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053 Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga Simu: +255 713 553 443 YouTube: Kijitonyama Lutheran church Barua Pepe : Kijitonyamalutheran@gmail.com