Перейти к содержимому

AHMED ALLY BAADA YA DERBY ATEMA CHECHE ZAKE

VOC MEDIA

0:00 / 0:00

AHMED ALLY BAADA YA DERBY ATEMA CHECHE ZAKE

37 просмотров · 14 часов назад
VOC MEDIA
3,8 тыс. подписчиков
37 просмотров · 14 часов назад
Baada ya mchezo mkali wa Derby kumalizika kwa matokeo ya 2-1, Semaji amefunguka na kutoa kauli nzito iliyozua gumzo miongoni mwa mashabiki wa soka. Je, amesema nini baada ya matokeo hayo? Ni maneno gani amewaachia wapinzani na mashabiki wa soka? 🎥 Tazama video hii hadi mwisho kusikia kauli ya Semaji baada ya Derby hiyo yenye ushindani mkubwa. Usisahau ku-like, ku-comment, kushare na ku-subscribe VOC MEDIA CHANNEL kwa habari za michezo, uchambuzi wa soka na matukio mbalimbali yanayoendelea nchini na duniani. 👇 WEWE UNA MAONI GANI KUHUSU MATOKEO YA 2-1? Tuandikie kwenye sehemu ya maoni! #Semaji #Derby #Simba #Yanga #Soka #HabariZaMichezo #TanzaniaFootball #NBCPremierLeague #FootballNews #DerbyDay #VOCMedia #VOCMediaChannel #BongoSports #TanzaniaSports