Перейти к содержимому

NAFASI YA WAZAZI NA WALEZI KATIKA KUMJENGA KIJANA MWENYE FYUCHA

Geah Habibu

0:00 / 0:00

NAFASI YA WAZAZI NA WALEZI KATIKA KUMJENGA KIJANA MWENYE FYUCHA

370 просмотров · 4 нед. назад
Geah Habibu
394 тыс. подписчиков
370 просмотров · 4 нед. назад
Ni rahisi kusema kwamba fyucha ya kijana ipo mikononi mwake lakini sote kama jamii tunayo nafasi ya kuchangia namna ambavyo fyucha ya kijana huyu itakuwa. Wazazi na walezi ndio watu wa kwanza kabisa kumjengea kijana misingi inayoweza kumuongoza hata pale anapokuwa mbali na nyumbani. Katika sehemu hii ya tatu ya Kijamvi Salama tunatafuta majibu ya ni jinsi gani wazazi, walezi na jamii kwa ujumla wanaweza kumjengea kijana mazingira ambayo yataiweka salama FYUCHA yake.