Перейти к содержимому

Dar es salaam Gospel Choir (DGC) - Hatulegei (Official Live Video)

DAR ES SALAAM GOSPEL CHOIR (DGC)

0:00 / 0:00

Dar es salaam Gospel Choir (DGC) - Hatulegei (Official Live Video)

3 836 просмотров · 3 дн. назад
DAR ES SALAAM GOSPEL CHOIR (DGC)
604 подписчика
3 836 просмотров · 3 дн. назад
Wimbo wa “Hatulegei” ni kutukumbusha, kwamba kuchoka si kushindwa. Ikiwa unapitia kipindi kigumu, jiambie tu: “Ninaweza kukabiliwa na kuchelewa kwa mambo ninayotarajia, kuvunjika moyo na nyakati ngumu, lakini kwa imani katika Mungu, ninapata nguvu za kuendelea.” Wakati mwingine unaweza kuonekana dhaifu kwa nje, lakini ndani unafanywa upya kwa nguvu unazopata kutoka kwa Bwana. Hata nguvu zako zitakapoisha, nguvu zake zinaendelea kukutegemeza. Hatukati tamaa "Hatulegei!" 2 Wakorintho 4:16. Habari za Furaha album recorded live at Mbezi Garden, Dar es salaam, Tanzania. ------------------------------------------ CREDITS Song Composer: Enock Mweta Song leaders: Ms. Imani Fidelis and Enock Mweta Back Up Singers: Dar es salaam Gospel Choir (DGC) Music Director: Kepha Mndeme Production Management: Dar es salaam Gospel Choir (DGC) Production Manager: Heriel Mwampulo Video Director: Elias Elias Audio Producer: Quillian Kilago Audio Capturing: Quillian Kilago PA System, Backline & Stage: Beta Sound Sound Engineer: Innocent Mujwahuki Lighting: Nyakalo Stage Light Stage Decor: Nyakalo Stage Light Floor Manager: Sam Batenzi ---------------------------------------------- Connect with us: Instagram: daresalaam_gospel_choir Facebook: DaresSalaam Gospel ChoirTz TikTok: daressalaamgospelchoir ---------------------------------------------- Contacts: Phone No: +255 755 624 764 Email Address: daressalaamgospelchoir@gmail.com