SIRI YA BAGAMOYO 🇹🇿 | Historia, Vivutio vya Utalii, Tamaduni na Maeneo Usiyoyajua | Full Documentary
Scander tv
0:00 / 0:00
SIRI YA BAGAMOYO 🇹🇿 | Historia, Vivutio vya Utalii, Tamaduni na Maeneo Usiyoyajua | Full Documentary
93 просмотра · 2 мес. назад
Scander tv
396 подписчиков
93 просмотра · 2 мес. назад
Karibu kwenye documentary hii maalum inayokufikisha moja kwa moja katika mji wa kihistoria wa Bagamoyo, moja ya maeneo yenye historia kubwa zaidi nchini Tanzania.
Katika video hii utatembelea maeneo mbalimbali ya kuvutia, utajifunza historia ya Bagamoyo tangu enzi za biashara ya Waarabu na Wajerumani, utaona fukwe zake nzuri, majengo ya kale, maisha ya wakazi, utamaduni, sanaa, pamoja na vivutio vinavyoufanya mji huu kuwa kivutio kikubwa cha watalii kutoka duniani kote.
Ikiwa unapenda historia ya Tanzania, utalii, tamaduni na simulizi zenye maarifa, basi documentary hii ni kwa ajili yako.
🔔 Usisahau kufanya haya:
Subscribe kwenye Scander TV
Bonyeza Like
Toa maoni yako
Share video hii ili watu wengi zaidi wajifunze historia ya Bagamoyo.
🎥 Documentary By: Shabani J. Shabani