Maisha ya Nyuki yatakushangaza! Dume hufa baada tu ya kujamiiana, Malkia huumbwa na nyuki wenzake
Simulizi Na Sauti
0:00 / 0:00
Maisha ya Nyuki yatakushangaza! Dume hufa baada tu ya kujamiiana, Malkia huumbwa na nyuki wenzake
28 280 просмотров · 6 лет назад
Simulizi Na Sauti
1,64 млн подписчиков
28 280 просмотров · 6 лет назад
Mwaka baada ya mwaka, kuna dansi mashuhuri ambayo humalizika na kifo. Hii ni dansi ambayo kwa binadamu humsaidia kupata asali, japo hupita bila wengi kujua.
Dansi hii ni mchakato wa kujamiiana kwa nyuki wa asali. Leo, nataka nikusogeze kwenye ulimwengu huu wa nyuki wenye maajabu yake, hakika utastaajabu.