SABATO_Together In Christ - Magomeni Official Video_6K (TVISION STUDIOS)
Together In Christ-Magomeni sda
0:00 / 0:00
SABATO_Together In Christ - Magomeni Official Video_6K (TVISION STUDIOS)
2 435 просмотров · 1 год назад
Together In Christ-Magomeni sda
698 подписчиков
2 435 просмотров · 1 год назад
Sabato – Wimbo wa Ibada | Pumziko Takatifu kwa Bwana
Karibu usikilize wimbo huu maalum unaoukumbusha ulimwengu uzuri wa Sabato – siku ya pumziko, baraka, na utakatifu.
🎶 “Sabato ya Bwana, siku ya furaha!”
Tunatumaini utakugusa na kukuleta karibu na Muumba wako.
Usisahau ku-like, ku-share na ku-subscribe kwa nyimbo zaidi za kuinua roho!
👉 Wimbo huu umetungwa kwa ajili ya kumtukuza Mungu ambaye ndiye Bwana wa sabato.
👉 Tazama kwa utulivu, tafakari kwa kina, na mshukuru Mungu kwa zawadi ya pumziko la kiroho.
Composer: David Naftal Daniel
Song Arrangement: David Naftal Daniel
Video Recording: Tvision Studios +255714352466
Directed By: Madoba