Перейти к содержимому

MAHOJIANO MAALUM | 18/09/2026 | Fasila Adhiambo mchezaji wa Simba Queens.

Azam TV

0:00 / 0:00

MAHOJIANO MAALUM | 18/09/2026 | Fasila Adhiambo mchezaji wa Simba Queens.

1 321 просмотр · 1 день назад
Azam TV
3,31 млн подписчиков
1 321 просмотр · 1 день назад
Mchezaji wa soka, Fasila Adhiambo amefunguka kuhusu historia ya maisha yake ndani ya mchezo huo, akieleza safari yake kutoka hatua za mwanzo kabisa hadi kufikia kuwa miongoni mwa wachezaji wa kulipwa katika soka la wanawake. Akizungumza kuhusu mafanikio yake, Fasila amesema safari hiyo haikuwa rahisi kutokana na changamoto mbalimbali alizokutana nazo, lakini kupitia nidhamu, kujituma na mchango wa wazazi katika kuendeleza kipaji chake ameweza kufikia hatua aliyonayo leo. Mahojiano haya yamefanywa na Sports Lady, Timzo Kalugira. Azam TV