KAULI YA WAKILI WA KESI YA KIKATIBA BAADA YA MAAMUZI YA MAHAKAMA -"HAKI IMETENDEKA"- ATOA TAMKO ZITO
Global TV Online
0:00 / 0:00
KAULI YA WAKILI WA KESI YA KIKATIBA BAADA YA MAAMUZI YA MAHAKAMA -"HAKI IMETENDEKA"- ATOA TAMKO ZITO
5 150 просмотров · 18 ч назад
Global TV Online
5,97 млн подписчиков
5 150 просмотров · 18 ч назад
KAULI YA WAKILI WA KESI YA KIKATIBA BAADA YA MAAMUZI YA MAHAKAMA "HAKI IMETENDEKA" ATOA TAMKO ZITO
Wakili anayemwakilisha Tundu Lissu amefunguka mazito na kutoa ufafanuzi wa kina kufuatia mwenendo na maamuzi ya mahakama ya leo. Katika mahojiano haya maalum, anaweka wazi hoja nzito zilizowasilishwa mbele ya jaji, msimamo wa upande wa utetezi, na hatua kubwa zinazofuata kisheria.
#TunduLissu #WakiliWaLissu #HabariZaMahakamani #GlobalTVOnline #tanzanianews
============================================================
⚫️ JE, UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 760 403894 or 255 719 401968)
⚫️ Email: globaltvonline.newsdesk@gmail.com