Перейти к содержимому

“MARIDHIANO YA KWELI, SIO YA JUICE NA BISKUTI!” — HECHE

TMC NEWS TV

0:00 / 0:00

“MARIDHIANO YA KWELI, SIO YA JUICE NA BISKUTI!” — HECHE

8 311 просмотров · 4 дня назад
TMC NEWS TV
39,4 тыс. подписчиков
8 311 просмотров · 4 дня назад
“Siasa za uongo uongo chadema ya sasa hazipo” Kauli hii ilitolewa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho John Heche ikisisitiza kuwa siasa haziwezi kujengwa kwa vitisho, kutishana, maridhiano ya kinafiki wala kupeana juisi na biskuti huku masuala ya msingi yakipuuzwa. Aidha, amesisitiza umuhimu wa kuheshimiana kisiasa, kufuata sheria na taratibu za uchaguzi, huku akieleza kuwa thamani ya maisha ya binadamu haiwezi kulinganishwa na mali, magari, ndege au kitu kingine chochote. Pia madhara yaliyowapata wanachama wa CHADEMA, akitaja waliopoteza maisha na kusisitiza kuwa wananchi wanapaswa kupewa nafasi ya kufanya uamuzi wao kupitia uchaguzi wa haki. TMC NEWS | Shaping The Future Asante kwa kufuatilia TMC NEWS. Subscribe, Like na Share ili kuendelea kupata habari za uhakika, matangazo ya moja kwa moja na uchambuzi wa kina kutoka Tanzania na duniani. 🔔 Washa arifa (Notifications) ili usipitwe na taarifa muhimu. 📢 Kwa matangazo, ushirikiano na maoni: 📧 tmcnewsmedia@gmail.com 📞 +255 674 075 414 🌐 Tufuatilie kwenye mitandao yote ya kijamii: @tmcnewsmedia #tmcnews565 #ShapingTheFuture #BreakingNews #TanzaniaNews #LiveNews#CHADEMA #Maridhiano #MaridhianoYaKweli #SiasaZaKweli #SiasaZaUwongo #JuisiNaBiskuti #SiasaTanzania #Demokrasia #Uchaguzi2026 #CCM #TunduLissu #Tanzania #TMCNews #HabariTanzania #BreakingNews