Перейти к содержимому

Usafi ni kipaumbele kwa wilaya ya Hai

HAI DC

0:00 / 0:00

Usafi ni kipaumbele kwa wilaya ya Hai

14 просмотров · 7 дн. назад
HAI DC
7 подписчиков
14 просмотров · 7 дн. назад
Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Hai Dionis Myinga, amesema shughuli za usafi wa mazingira na upangaji wa wafanyabiashara zimeendelea kupewa kipaumbele katika maeneo mbalimbali ya Hai, hususan mjini Bomang’ombe, kwa lengo la kulinda afya za wananchi na kupunguza athari zinazoweza kusababishwa na mvua kubwa.