🔴 ZIJUE SIRI ZA MADHABAHU ZA GIZA | SIKU YA 7 | 31.OCT.2026 | MWL.LYDIA KAGISA
MUNGU YUPO HAPA
0:00 / 0:00
🔴 ZIJUE SIRI ZA MADHABAHU ZA GIZA | SIKU YA 7 | 31.OCT.2026 | MWL.LYDIA KAGISA
168 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
MUNGU YUPO HAPA
6,14 тыс. подписчиков
168 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
Karibu katika SEMINA YA NENO LA MUNGU yenye ujumbe wenye nguvu: KUSHUGHULIKIA MADHABAHU ZA GIZA KWENYE ARDHI NA ENEO ZINAZOSHIKILIA VITU VYA WATU.
Kupitia Neno la Mungu katika Kumbukumbu la Torati 12:1–13, tunajifunza kuhusu madhabahu, namna yanavyohusiana na maisha ya watu na umuhimu wa kusimama katika kweli ya Neno la Mungu.
🙏 Usikose kufuatilia ujumbe huu hadi mwisho! Sikiliza kwa makini, jifunze Neno na ushiriki ujumbe huu na wengine ili nao wapate nafasi ya kujifunza.
📍 ENEO: KKKT Usharika wa Ihumwa, Dodoma
📖 MAFUNDISHO: Kumbukumbu la Torati 12:1–13
📺 TUNAENDELEA LIVE YOUTUBE: KWA SIKU 8
👍 LIKE video hii
💬 Andika maoni yako baada ya kusikiliza ujumbe
🔔 SUBSCRIBE na washa kengele ili usikose mafundisho mengine
📲 SHARE na ndugu, rafiki na familia yako.
#LydiaKagisa #SeminaYaNenoLaMungu #MadhabahuZaGiza #NenoLaMungu #Maombi #MafundishoYaBiblia #Dodoma