Перейти к содержимому

Khutba ya Ijumaa ,28 Aug, 2026 | COMMITMENT & CONSISTENCY | Sheikh Issa Othman{Mufti London}

RHAPTA CHANNEL

0:00 / 0:00

Khutba ya Ijumaa ,28 Aug, 2026 | COMMITMENT & CONSISTENCY | Sheikh Issa Othman{Mufti London}

55 просмотров · 12 дней назад
RHAPTA CHANNEL
1,01 тыс. подписчиков
55 просмотров · 12 дней назад
Katika khutba hii yenye mafunzo na mawaidha muhimu, *Sheikh Issa Othman* anaeleza kwa kina kuhusu *“COMMITMENT AND CONSISTENCY”* — umuhimu wa kuwa na *msimamo, kujituma na kudumu katika mema* bila kukata tamaa. Mafanikio katika maisha na katika dini hayajengwi kwa juhudi za siku moja, bali kwa *ikhlasi, commitment na consistency* katika kutekeleza yale ambayo Allah سبحانه وتعالى ametuamrisha. 🎙️ *Imam Mkuu:* Sheikh Issa Othman 🕌 *Masjid:* Masjid Maamour, Upanga 📍 *Dar es Salaam, Tanzania* 📅 *28 Agosti 2026* 📺 *RHAPTA CHANNEL* 👉 *SUBSCRIBE RHAPTA CHANNEL* kwa mawaidha, khutba, elimu ya Kiislamu na vipindi mbalimbali. #CommitmentAndConsistency #SheikhIssaOthman #KhutbaYaIjumaa #Rhaptachannel #IslamicReminder #Mawaidha #Khutba #DarEsSalaam #IslamicKnowledge