Перейти к содержимому

Henrick Mruma - Ukae Nami (Lyrics)

Mikky's Lyrics

0:00 / 0:00

Henrick Mruma - Ukae Nami (Lyrics)

114 986 просмотров · 3 года назад
Mikky's Lyrics
3,22 тыс. подписчиков
114 986 просмотров · 3 года назад
Official Video:    • Ukae Nami - Henrick Mruma (Official Live V...   Official live video:    • Zaidi ya Fahamu/Uko Mwenyewe - Henrick Mru...   LYRICS [Chorus] E Bwana ukae nami Ukae nami milele Bwana ni mlinzi wangu uvuli wa mkono wa kuume Jua halitanipiga mchana Wala mwezi wakati wa usiku Utanilinda na mabaya yote Mabaya yote Utanilinda nitokapao na niingiapo (Chorus) [Milele, milele Ukae nami milele] ×2 Kaa nami ni usiku tena Usiniache gizani bwana Msaada wako haukoki Nili peke yangu kaa nami Nina haja na we kila saa Sina mwingine wa kunifaa Mimi nitaongozwa na nani Ila wewe bwana kaa nami Ila wewe bwana kaa nami Ila wewe bwana kaa nami Ila wewe bwana kaa nami Ila wewe bwana kaa nami Ila wewe bwana kaa nami Ila wewe bwana kaa nami Ila wewe bwana kaa nami