Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, Akagua Mradi wa Utalii Hifadhini Ngorongoro
DARUBINI DIGITAL
0:00 / 0:00
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, Akagua Mradi wa Utalii Hifadhini Ngorongoro
157 просмотров · 10 дн. назад
DARUBINI DIGITAL
97 подписчиков
157 просмотров · 10 дн. назад
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Ashatu Kijaji, amefanya ziara ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo ya utalii inayofadhiliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) katika Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro, ikiwemo mradi uliopo katika eneo maarufu la Maporomoko ya Maji ya Endoro (Endoro Waterfall).
Akiwa katika ziara hiyo, Dkt. Kijaji amebainisha mambo yafuatayo:
Kipaumbele cha Serikali: Mheshimiwa Rais ameweka kipaumbele kikubwa kwenye sekta ya utalii ili kukuza uchumi wa taifa na kufungua fursa mpya za maendeleo.
Wadau wa utalii na wananchi wanapaswa kuchangamkia na kutumia vyema fursa zote zinazopatikana kutokana na uwekezaji na juhudi hizi za serikali katika sekta ya utalii.
Dkt. Ashatu Kijaji Akagua Miradi ya Utalii Ngorongoro, Asisitiza Kutumia Fursa za Rais Samia