Перейти к содержимому

Hadithi Za Mapenzi - Melody Mbassa ( Chapter II )

Melody Mbassa

0:00 / 0:00

Hadithi Za Mapenzi - Melody Mbassa ( Chapter II )

813 просмотров · 2 года назад
Melody Mbassa
8,72 тыс. подписчиков
813 просмотров · 2 года назад
Titled Album Song " Hadithi Za Mapenzi With Completely Two Chapter ! ( Full Instruments ) Version Singer - Melody Mbassa Songwriter - Melody Mbassa Music Arranger & Producer - Melody Mbassa | Baba Necka . Production House : Fresh Sound Electric Solo Guitar | Second Solo Played By Victor Bubojo With Effects. #hadithizamapenzilyrics Intro " Hapo zamani za Kale ! ( Mavokale )  Chorus Maisha yangu ni ukweli , Na MAPENZI yangu ni halisi ,  Nilibahatika kumuona malaika ,  Mwenye SIFA zaidi ya yule Prisca ,  Alinichekea kwenye Kona , Akiwa kasimama na mvulana  Bridge  Nafunika macho yangu nikijaribu kusema ukweli ,  Moyo wangu na ukweli , mwenzenu mi niseme ukweli , Napata hisia kuliko kiapo ,  Sababu nampenda sana ehee !  MAPENZI yake hayaishi , Hadithi ya MAPENZI haikamiliki ,  Tuombeane eheee ..!! Verse 1 Eti ni mara ngapi meno yanang'ata ulimi wako mama !  Lakini Bado ulimi na meno viko pamoja sweetie !  Peke yangu naweza kusema ila pamoja tunaweza kuongea , Peke yangu naweza kufurahi lakini Kwa pamoja tutasherekea , Wembe ni mkali lakini haukati mti mama , Na shoka ina nguvu lakini haiwezi kukata hizo Nywele zako ,  Tangu ujana Mpaka mwenye mvi nitakupenda bebe , Kama ningezaliwa kwenye macho Yako , basi Ningefia kwenye midomo Yako  Rudia Chorus  Vibwagizo ( Mwisho ) Hadithi ya MAPENZI nataka kusimuliwa ,  Hadithi ya MAPENZI naomba hadithiwa Now Playing Hadithi Za Mapenzi Via Audiomack https://audiomack.com/melody-mbassa/s... Mavokale © 2024 Follow @melodymbassa on.. Instagram :   / melodymbassa   Facebook:   / melody.mbassa   |||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||||| *𝔻𝕀𝔾𝕀𝕋𝔸𝕃 ℙ𝕃𝔸𝕋𝔽𝕆𝕄$ 𝐀𝐔𝐃𝐈𝐎𝐌𝐀𝐂𝐊 https://audiomack.com/melody-mbassa _________________________ 𝐁𝐎𝐎𝐌𝐏𝐋𝐀𝐘 https://www.boomplay.com/share/artist... _________________________ *𝙴𝙽𝙹𝙾𝚈 "Melody Mbassa" 𝙰𝚄𝙳𝙸𝙾's 📀& 𝚅𝙸𝙳𝙴𝙾's *📺 *𝙿𝙻𝙴𝙰𝚂𝙴: Follow, Subscribe, 𝙻𝚒𝚔𝚎, 𝙲𝚘𝚖𝚖𝚎𝚗𝚝 & 𝚂𝚑𝚊𝚛𝚎 #Melodymbassa ------------------------------------------------------- 𝐁𝐎𝐎𝐌𝐏𝐋𝐀𝐘 For booking information contact : [ mizikale@gmail.com ] Artist | Bookings 📲 + 255659977875 ( Booking Agent ) M I Z I K A L E ( 2024 ) ------------------------------------------------------- NEW 𝐁𝐎𝐎𝐌𝐏𝐋𝐀𝐘 LIST (2024)👇 Isabella via 𝐁𝐎𝐎𝐌𝐏𝐋𝐀𝐘 https://www.boomplay.com/songs/169466... Mapenzi Naye Via 𝐁𝐎𝐎𝐌𝐏𝐋𝐀𝐘 https://www.boomplay.com/songs/169469... Nyoka Listen Via 𝐁𝐎𝐎𝐌𝐏𝐋𝐀𝐘 :/ https://www.boomplay.com/songs/169458... Lala Mtoto Via : 𝐁𝐎𝐎𝐌𝐏𝐋𝐀𝐘 https://www.boomplay.com/songs/169467...