Fasihi Simulizi [Tanzu za fasihi simulizi] Fasihi kwa ujumla [FASIHI]
𝐓𝐄𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑 𝐃
0:00 / 0:00
Fasihi Simulizi [Tanzu za fasihi simulizi] Fasihi kwa ujumla [FASIHI]
33 587 просмотров · 6 лет назад
𝐓𝐄𝐀𝐂𝐇𝐄𝐑 𝐃
247 тыс. подписчиков
33 587 просмотров · 6 лет назад
Tanzu na vipera vya fasihi simulizi
Fasihi simulizi imegawanyika katika tanzu (matawi) manne (4) ambayo ni:
(a) Hadithi
(b) Semi
(c) Ushairi
(d) Sanaa za maonesho /Maigizo
(A) HADITHI
Ni tungo za fasihi simulizi zitumiazo lugha ya nathari (lugha ya ujazo ya maongezi ya kila
siku). Masimulizi hayo hupangwa katika mtiririko unaokamilisha kisa. Hadithi huwa na
wahusika ambao ni nyenzo kuu ya kukiendesha kisa chenyewe. Wahusika wanaweza kuwa
wanyama, binadamu na kadhalika.
VIPERA VYA HADITHI
Hadithi hujengwa kwa vipera vifuatavyo:
(a)Ngano
(b)Vigano
(c) Visasili
(d)Tarihi
(e) Soga
NGANO
Ni hadithi za kimapokeo zitumiazo wahusika kama wanyama, miti na watu katika kuelezea
au kuonya kuhusu maisha. Hizi ni hadithi za maadili ambazo husimuliwa katika mazingira ya
starehe, nazo huadili watu katika maisha.
Maranyingi hadithi za ngano mwisho wake huwa ni wa kufurahisha.
KARIBU SAANA
Pia mwishoni nakuonesha badhii ya mitihani na maswali yaliyo tungwa na baraza la mitihani ( past paper) kutokana na kile nilichofundisha karibu saana
CRUST, MANTLE, CORE...... • JINSI YA KUFAULU SOMO LA GEOGRAPHY. #PHYSI...
ROCKS..... • Jinsi ya kufaulu mtihani wa kidato cha nne...
JINSI YA KUPATA PAST PAPER..... • Jinsi ya kupata mitihani mtandaoni bure (p...
TYPES OF SEDIMENTARY ROCK.......... • JINSI YA KUFAULU SOMO LA GEOGRAPHY #PHYSIC...
ROCK CYCLE................ • Jinsi ya kufaulu GEOGRAPHY /METAMORPHIC RO...
#NECTA #kufaulu #JINSIYAKUFAULU #GEOGRAPHY #FORM3 #KIDATOCHANNE
KARBU SAANA