SAULI BOSCO -- SIJAONA l (Official Audio) l Wimbo wa injili 2026.
GOSHENI Mtv
0:00 / 0:00
SAULI BOSCO -- SIJAONA l (Official Audio) l Wimbo wa injili 2026.
264 просмотра · 2 месяца назад
GOSHENI Mtv
134 подписчика
264 просмотра · 2 месяца назад
SAULI BOSCO – SIJAONA (Official Audio)
Karibu usikilize wimbo mpya wa injili "SIJAONA" kutoka kwa mwimbaji SAULI BOSCO.
Wimbo huu unazungumzia uaminifu wa Mungu, neema yake na matendo makuu ambayo hayajawahi kufananishwa. Tunaomba ukubariki, ukuimarishe imani yako na kukusogeza karibu zaidi na Mungu.
Usisahau: ✅ Subscribe GOSHENI MTV 👍 Like 💬 Comment 📤 Share na wengine ili nao wabarikiwe.
Mungu akubariki sana.
#SIJAONA #SauliBosco #GOSHENIMTV #OfficialAudio #WimboMpya #Injili #GospelMusic #Tanzania #Baraka #Yesu