IFAHAMU HUDUMA YA KIPEKEE INAYOPATIKANA NDANI YA SOKO KUU NJOMBE.
NJOMBE TC
0:00 / 0:00
IFAHAMU HUDUMA YA KIPEKEE INAYOPATIKANA NDANI YA SOKO KUU NJOMBE.
578 просмотров · 11 месяцев назад
NJOMBE TC
670 подписчиков
578 просмотров · 11 месяцев назад
Wafanyabiashara katika Soko Kuu la Njombe wananufaika na huduma ya kipekee ya uwepo wa kituo cha kulelea watoto kilichopo ndani ya soko. Kituo hiki kimewasaidia hasa wazazi wanaofanya biashara kwa kuwawezesha kuendelea na shughuli zao kwa utulivu na uhuru, wakijua kuwa watoto wao wako mahali salama na wanapewa huduma stahiki.Huduma hii imeongeza ufanisi wa kazi sokoni,usalama wa watoto na kuchangia ustawi wa familia nyingi zinazojishughulisha na biashara ndani na nje ya soko kuu Njombe.