Bashir: Nilijuta Sana Kuacha Uislamu....
Abass Online Tv, Daawa Kenya
0:00 / 0:00
Bashir: Nilijuta Sana Kuacha Uislamu....
1 269 просмотров · 2 недели назад
Abass Online Tv, Daawa Kenya
11,2 тыс. подписчиков
1 269 просмотров · 2 недели назад
Huu ni mhadhara uliofanyika mtaa wa Korogocho, Jijini Nairobi, na tulifanikiwa kufanya mahojiano na Wakristo wanne waliokuwa na maswali tofauti kuhusu Yesu na sadaka. Mwishowe, wawili walichukua uamuzi wa kusilimu, na miongoni mwao ni Bashir, kijana aliyewahi kuacha Uislamu, akawa mkristo, akabatizwa na kuitwa Vincent, ameishi akiwa Vincent kwa zaidi ya miaka kumi lakini akaishi kwa majuto makubwa hadi akatamani kurudi tena katika Uislamu.
#Daawa
#Uislamu
#Shahada
#RevertToIslam
#SwahiliIslam
#StreetDaawa
#IslamicContent
#Hidaya
#Bashir
#Yesu
#Sadaka
#ChristianMuslimDialogue
#Tafsiri
#Ushuhuda