Minister _ Jason - _- UMENIKUBALI (Official Audio rylics)
MINISTER JASON
0:00 / 0:00
Minister _ Jason - _- UMENIKUBALI (Official Audio rylics)
143 просмотра · 1 мес. назад
MINISTER JASON
76 подписчиков
143 просмотра · 1 мес. назад
Hello mpendwa katika bwana napenda kukukaribisha kuusikiliza wimbo wetu pendwa tuliousubili kwa mda mrefu uitwao UMENIKUBALI wimbo huu umebeba ujumbe kamili namna gani hupaswi kukata tamaa katika maisha ya wokovu, kwani hata kama ndugu,, jamaa na marafiki wakakutenga kamwe Mungu hawezi kukuacha
Piah maisha magumu siku zote yapo na hivyo yasikufanye wewe kuuacha wokovu 🙏
Karibu ubarikiwe na ujumbe huu usisahau ku Subscribe ✅, LIKE 🩷, COMMENTS Na share kusambaza upendo na mungu akubariki ✨ 🙏
#IbrahimJason #GospelMusic #NyimboZaInjili #SwahiliGospel #Worship #Praise #ChristianMusic #OfficialMusicVideo #TanzaniaGospel #Jesus