Перейти к содержимому

#Kalima: Ziara Masjid Salaf - Kiluvya | Nasaha Nzito kwa Wanafunzi wa Qur'an | Sheikh Riyadh Assenga

Manhaj Online TV

0:00 / 0:00

#Kalima: Ziara Masjid Salaf - Kiluvya | Nasaha Nzito kwa Wanafunzi wa Qur'an | Sheikh Riyadh Assenga

299 просмотров · 3 дн. назад
Manhaj Online TV
13,5 тыс. подписчиков
299 просмотров · 3 дн. назад
Katika kalima hii, Sheikh Abul Barakaat Riyaadh Assenga حفظه الله anatoa nasaha zenye mawaidha mazito kwa wanafunzi na jamii kuhusu fadhila za kusoma na kuhifadhi Kitabu cha Allah (Qur'aan). Ndani ya kalima hii Sheikh amesisitiza: • Thawabu na daraja za wanaokusanyika misikitini kusoma Qura'an. • Maana na sifa ya kuwa "Ahlullah" (Watu wa Allah). • Umuhimu wa vijana kutumia umri wao kuhifadhi Qur'an vifuani mwao kama walivyofanya Maswahaba. 00:00 - Utangulizi 01:23 - Kalima ya Sheikh Riyadh na Fadhila za Misikiti 03:00 - Malaika Kuwafunika Wanaosoma Qur'an 04:30 - Utukufu wa Maneno ya Allah na Kuhifadhi Qur'an 06:14 - Mbora Wenu ni Yule Anayejifunza Qur'an na Kuifundisha 07:18 - Ahlullah: Watu Mahususi wa Allah 08:35 - Mazingira ya Ziara ya Kiluvya na Maendeleo ya Kituo 10:10 - Wito kwa Vijana Kutumia Wakati Wao Vizuri 12:12 - Kisa cha Maswahaba na Uhifadhi wa Qur'an Vifuani 14:13 - Hitimisho la Nasaha 14:52 - Ujumbe wa Kusaidia Manhaj Online TV 📌 Subscribe kwenye chaneli yetu ya Manhaj Online TV kwa darsa zaidi, mawaidha, na nasaha za kisheria. 🔔 Gusa kengele ili uwe wa kwanza kupata taarifa kila tunapoweka video mpya.