Перейти к содержимому

ZAIDI YA MATESO! - "NIMEVIMBA TUMBO KIMAAJABU, SIWEZI KULA CHOCHOTE, USIKU SILALI"

Global TV Online

0:00 / 0:00

ZAIDI YA MATESO! - "NIMEVIMBA TUMBO KIMAAJABU, SIWEZI KULA CHOCHOTE, USIKU SILALI"

8 773 просмотра · 6 лет назад
Global TV Online
5,93 млн подписчиков
8 773 просмотра · 6 лет назад
ZAIDI YA MATESO! - "NIMEVIMBA TUMBO KIMAAJABU, SIWEZI KULA CHOCHOTE, USIKU SILALI" Inakukutanisha na Amina Mohamed (32) ambaye amevimba tumbo baada ya kujifungua Mtoto wake Wa mwisho huku chanzo cha kuvimba kwa tumbo hilo mpaka sasa hakijajulikana Cha kusikitisha zaidi Amina anasema tumbo hilo linazidi kuongezeka kila muda na Mara mwisho alitolewa maji Lita 10 katika tumbo hilo, kwa sasa hana uwezo Wa kula chochote,kutembea wala kumuhudumia Mtoto wake ambaye tangu ajifungue hajawahi kunyonya maziwa ya mama Amina anawatoto wanne kwa sasa. UNAWEZA KUMSAIDIA KUPITIA NAMBA 0712 818160- Amina Mwiru Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 iOS:https://apple.co/38HjiCx UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) (+255 676 229628) Email: globaltvbest@gmail.com abbymrisho@gmail.com HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania http://bit.ly/exclusive_interviews