Sheikh Abul Fadhl Kassim Mafuta Kassim - Namna Sheitwani Anavyowatoa Watu Kwenye Mambo Ya Dini
Masjidi Aisha Mchinga2
0:00 / 0:00
Sheikh Abul Fadhl Kassim Mafuta Kassim - Namna Sheitwani Anavyowatoa Watu Kwenye Mambo Ya Dini
777 просмотров · 1 месяц назад
Masjidi Aisha Mchinga2
359 подписчиков
777 просмотров · 1 месяц назад
Hii ni nasaha muhimu sana kutoka kwa Sheikh Abul Fadhl Kassim Mafuta Kassim (Hafidhahullah) inayofafanua mbinu na namna ambazo Sheitwani huzitumia kuwarubuni na kuwatoa watu katika mambo ya dini na ibada zao.
Ni darasa lenye mafunzo makubwa yatakayokusaidia kujilinda na mitego ya ibilisi na kubaki imara katika mstari ulionyooka. Sikiliza nasaha hii mwanzo hadi mwisho ili upate faida na uweze kushare na wengine wapate faida pia.
✨ Usiache KUSUBSCRIBE, Kulike, na Kucomment ili kupokea darasa na nasaha zaidi kila zinapowekwa.