PAWA – Episode 2:
BACHU MEDIA 1
0:00 / 0:00
PAWA – Episode 2:
63 574 просмотра · 1 год назад
BACHU MEDIA 1
15,7 тыс. подписчиков
63 574 просмотра · 1 год назад
PAWA ni hadithi ya kuchekesha na kusisimua kuhusu watoto wawili watukutu wanaoamua kumfanyia vituko baba yao wa kambo kila siku.
Kila episode inaleta kicheko kipya, mpango mpya wa utundu, na wakati mwingine funzo la maisha.
👉 Hii ni sehemu ya kwanza ya msururu wa PAWA (Episode 1–10), ambapo utaona safari ya watoto hawa na changamoto za baba wa kambo katika kukabiliana nao.
🌟 Usisahau kusubscribe ili usipitwe na sehemu zinazofuata.
🌟 Toa maoni yako – ni tukio lipi limekufanya ucheke zaidi?
🌟 Shirikisha rafiki zako ili wote tufurahie pamoja
#PAWA
#PawaSeries
#BabaWaKambo
#WatotoWatukutu
#FamiliaDrama
#BachuMedia
#PawaDrama
#PawaEpisode
#HadithiZaKibongo
#DramaZaKibongo
#penziladadawakazi
#dontatv
#dunia