Alianza Wapi? Safari ya Abasi Kimvuli Kufikisha Uwekezaji Bilioni 1 | Victor Busara
VICTOR BUSARA
0:00 / 0:00
Alianza Wapi? Safari ya Abasi Kimvuli Kufikisha Uwekezaji Bilioni 1 | Victor Busara
14 842 просмотра · 4 дня назад
VICTOR BUSARA
3,01 тыс. подписчиков
14 842 просмотра · 4 дня назад
SAFARI YA BILIONI MOJA 💰
Katika episode hii ya Victor Busara Podcast, tunakaa na Abasi Kimvuli, mwekezaji ambaye amefikisha thamani ya uwekezaji wake kufikia TZS 1 Bilioni.
Lakini nyuma ya hiyo bilioni kuna safari — maamuzi, nidhamu, kujifunza, fursa, changamoto na mtazamo kuhusu fedha ambao unaweza kumsaidia mtu anayejenga safari yake ya kifedha.
Katika mazungumzo haya, tunazungumza kuhusu:
• Safari yake ya kuanza kuwekeza
• Jinsi alivyofikia kiwango cha uwekezaji wa Bilioni 1
• Namna anavyofikiria kuhusu uwekezaji na kujenga utajiri
• Makosa na changamoto alizokutana nazo njiani
• Mtazamo wake kuhusu stocks, assets na long-term investing
• Ushauri kwa vijana wanaotaka kuanza kujenga utajiri
• Kile ambacho watu wengi hawakioni nyuma ya namba kubwa za uwekezaji
Je, Bilioni 1 huanza na nini?
Tazama mazungumzo yote hadi mwisho na ujifunze kutoka kwenye safari ya Abasi Kimvuli.
🎙️ Host: Victor Busara
👤 Guest: Abasi Kimvuli
#VictorBusara #AbasiKimvuli #SafariYaBilioniMoja #Uwekezaji #Investment #PersonalFinance #Tanzania