HUBU SHUHURI | Audio Qaswida mp3 | Muimbaji Abdillah | Mtunzi Ust Abdulhaleem | 2024
KHAIRIYYA ONLINE TV
0:00 / 0:00
HUBU SHUHURI | Audio Qaswida mp3 | Muimbaji Abdillah | Mtunzi Ust Abdulhaleem | 2024
98 524 просмотра · 2 года назад
KHAIRIYYA ONLINE TV
19,6 тыс. подписчиков
98 524 просмотра · 2 года назад
Qaswida Hii ilitungwa mwaka 2023 Na Ust abdulhaleem Na ikatiwa sauti Na huyohuyo Ust abdulhaleem Na ikasomwa na Huyo huyo Ust abdulhaleem katika KILELE cha Maarif day mnamo mwaka huo huo 2023
Qaswida hii ilikuwa bora sana kwani ilifuatiliwa kwa kiasi kikubwa na kupendwa mno Na watu
mwaka huu 2024 QASWIDA hii imekuja kwa aina yake ambao mdogo wake Ust abdulhaleem yaani hapa Tuna mzungumzia Mwamba Ust abdillah bin sheikh muhammad bakari ameileta Qaswida hii kwa mahadhi ya hali ya juu
Utakapoisikiliza Hii qaswida hutatamani kuacha kwani ladha zake hazina kifani
Audio Qaswida mp3
hubu shuhuri
mtunzi : Ust abdulhaleem
muimbaji : Ust abdillah
available on khairiyya online Tv
Usisahau
#subscribe #comment #share #like katika channel yetu ya khairiyya Online Tv