CONTENT CREATORS | MZIA NA NZOA | PART TWO
Mansabuna Simulizi
0:00 / 0:00
CONTENT CREATORS | MZIA NA NZOA | PART TWO
184 просмотра · 4 нед. назад
Mansabuna Simulizi
725 подписчиков
184 просмотра · 4 нед. назад
NZIA NA NZOA – CONTENT CREATORS | SEHEMU YA PILI
Mzia amefika nyumbani kwa Nzoa… na usiku wao unaanza kwa mazungumzo, vicheko na hisia ambazo hawakutarajia. ❤️
Lakini upande mwingine wa dunia, Sibusiso bado hawezi kuutoa moyo wake kwa Mzia. Hata akiwa na Zanele, jina la Mzia linamfuata kila mahali.
Na Mzia akiwa mgeni wa Nzoa, hakuna anayejua siri kubwa anayobeba nyuma ya maisha yake ya kawaida.
Je, Nzoa ataanza kumpenda Mzia?
Je, Sibusiso atakubali kumpoteza kabisa?
Na siri ya Mzia itafichuka lini?
🔥 Sikiliza Sehemu ya Pili mwanzo hadi mwisho.
Kama hujasikiliza Sehemu ya Kwanza, ianze kwanza kisha urudi hapa.
Masabuna Simulizi — Simulizi zenye hisia, maisha, mapenzi, familia na siri.
#NziaNaNzoa #MasabunaSimulizi #ContentCreators #Simulizi #SimuliziZaMapenzi #Mapenzi #Upelelezi #Drama #SwahiliStories