Перейти к содержимому

Jahazi: Barakoa za Nguvu za Kiume / SIDIRIA za KIKE / UGUMU WA MAISHA KENYA

CLOUDSMEDIA

0:00 / 0:00

Jahazi: Barakoa za Nguvu za Kiume / SIDIRIA za KIKE / UGUMU WA MAISHA KENYA

4 465 просмотров · 6 лет назад
CLOUDSMEDIA
1,55 млн подписчиков
4 465 просмотров · 6 лет назад
HALI ngumu ya kiuchumi na uhaba wa Barakoa katika maeneo kadhaa Kaunti ya Lamu, nchini KENYA umelazimisha baadhi ya wakazi mijini na vijijini kutumia sidiria zao kujifunika midomo na pua. Uchunguzi uliofanywa na gazeti moja nchini KENYA umeonyesha kuwa wakazi wa vijiji vya Kiongwe, Mpeketoni na baadhi ya maeneo ya Hindi wanatumia sidiria na wengine kuziba midomo na pua zao kwa kutumia soksi na vitambaa vya kawaida, ili wajikinge kutokana na virusi vya corona. #Jahazi #MastoryYaTown