Mackenzie na wenzake walihusika mauaji ya watoto 190 Shakahola. Katika Dira ya Dunia TV
BBC News Swahili
0:00 / 0:00
Mackenzie na wenzake walihusika mauaji ya watoto 190 Shakahola. Katika Dira ya Dunia TV
25 020 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
BBC News Swahili
1,01 млн подписчиков
25 020 просмотров · Трансляция закончилась 1 дн. назад
Mahakama nchini Kenya imempata na hatia Paul Nthenge Mackenzie na wenzake 28 kwa kuhusika katika mauaji ya watu 191 - ambao ni watoto 190 na mtu mzima mmoja katika mojawapo ya vifo vinavyohusika na madhehebu ya kidini duniani. Tukio hilo lilifanyika kati ya mwaka 2021 na 2023.
Takribani watu 429 walifariki kwa kufunga kula na kunywa katika msitu wa Shakahola, katika pwani ya Kenya.
#Shakahola #Mackenzie #Kenya #BBCSwahili #BBCDiraYaDuniaTV #bbchabari leo
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili