YALIYOJIRI URUSI! RAIS SAMIA AJIBU MASWALI YA WAANDISHI WA HABARI
MACHINGA TV
0:00 / 0:00
YALIYOJIRI URUSI! RAIS SAMIA AJIBU MASWALI YA WAANDISHI WA HABARI
444 просмотра · 3 месяца назад
MACHINGA TV
652 тыс. подписчиков
444 просмотра · 3 месяца назад
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, amefanya mahojiano maalum na waandishi wa habari alioambatana nao katika ziara yake ya kitaifa nchini Urusi.
Katika mahojiano haya, Dkt. Samia anazungumzia mafanikio ya ziara hiyo, ushirikiano wa Tanzania na Urusi katika sekta mbalimbali, fursa za uwekezaji, biashara, elimu, teknolojia pamoja na masuala mengine muhimu yenye maslahi kwa Taifa.
Tazama mahojiano haya ya kipekee ili kufahamu yaliyojiri wakati wa ziara ya Rais Samia nchini Urusi na ujumbe wake kwa Watanzania.
🔔 Usisahau KUJISAJILI (SUBSCRIBE) kwenye Machinga TV, kuwasha kengele ya taarifa (NOTIFICATION BELL), kupenda (LIKE), kutoa maoni (COMMENT) na kushiriki (SHARE) video hii.
#RaisSamia #SamiaSuluhuHassan #Urusi #Russia #Tanzania #ZiaraYaKitaifa #Mahojiano #WaandishiWaHabari #MachingaTV #Diplomasia #Biashara #Uwekezaji #HabariZaLeo