TAZAMA ‘CAPTAIN’ TRAORE, RAIS PUTIN, WALIVYOWEKA MAUA KWENYE MOTO WA…
Mwananchi Digital
0:00 / 0:00
TAZAMA ‘CAPTAIN’ TRAORE, RAIS PUTIN, WALIVYOWEKA MAUA KWENYE MOTO WA…
302 666 просмотров · 1 год назад
Mwananchi Digital
1,23 млн подписчиков
302 666 просмотров · 1 год назад
Rais wa Burkina Faso, ‘Captain’ Ibrahim Traore ni miongoni mwa Marais wa Afrika waliohudhuria kwenye maadhimisho ya siku ya ushindi (Victory Day) Mei 9, 2025 ambapo ameonekana akiwa karibu na rafiki yake Rais wa Urusi, Vladimir Putin.
Baadae viongozi hao wakiongozwa na Putin walionekana wakiweka maua kwenye eneo linalowaka moto ikiwa ni ishara ya kukumbuka damu iliyomwagika wakati wa Vita Kuu ya Pili ya Dunia (WWII).
Siku ya Ushindi huadhimishwa Mei 9 kila mwaka nchini Urusi, ikiwa ni kumbukumbu ya ushindi wa mwaka 1945 katika Vita Kuu ya Pili ya Dunia, ambapo majeshi ya Umoja wa Kisovieti yalifanikiwa kuishinda Ujerumani ya Adolf Hitler.