Перейти к содержимому

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY- THE SCHOOL OF HEALING [ 28 SEPTEMBER 2026 ]

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

0:00 / 0:00

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY- THE SCHOOL OF HEALING [ 28 SEPTEMBER 2026 ]

6 191 просмотр · Трансляция закончилась 4 часа назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH
64,9 тыс. подписчиков
6 191 просмотр · Трансляция закончилась 4 часа назад
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING[ 28 SEPTEMBER 2026 ] UJUMBE WA LEO: MBINU ZA KUKUSAIDIA KUOMBEA MAMBO YALIYOSHINDIKANA KWA MUDA MREFU Utangulizi. Kwa nini Mungu anachelewa kujibu maombi ya mtu na umeomba kwa muda mrefu? Jambo la kwanza. Mungu anasubiri majira yake juu ya jambo ulilomuomba. 1 Samweli 1 : 10, 20 10 Naye huyo mwanamke alikuwa na uchungu rohoni mwake, akamwomba Bwana akalia sana. 20 Ikawa, wakati ulipowadia, Hana akachukua mimba na kuzaa mtoto mwanamume; akamwita jina lake Samweli, akisema, Kwa kuwa nimemwomba kwa Bwana. Zaburi 105 :19 19 Hata wakati wa kuwadia neno lake, Ahadi ya Bwana ilimjaribu. Mwanzo 41 : 12 - 14 12 Na huko pamoja nasi palikuwa na kijana; Mwebrania, mtumishi wa mkuu wa askari, tukamhadithia, naye akatufasiria ndoto zetu; akamfasiria kila mtu kama ilivyokuwa ndoto yake. 13 Ikawa, kama vile alivyotufasiria ndivyo ilivyotokea; mimi nalirudishwa katika kazi yangu, na yeye alitundikwa. 14 Ndipo Farao akapeleka watu, akamwita Yusufu, wakamleta upesi kutoka gerezani. Akanyoa, akabadili nguo zake, na kuingia kwa Farao. Mhubiri: Mwl. Joshua Molel Kwa maombi na ushauri : Mch. Kiongozi: Dkt. Eliona Kimaro Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053 Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga Simu: +255 713 553 443 YouTube: Kijitonyama Lutheran church Barua Pepe : Kijitonyamalutheran@gmail.com