Maombi Yaliyotikisa Msingi wa Kila Kifungo!"ANGALIA UPONE
Chuo Cha Gombo
0:00 / 0:00
Maombi Yaliyotikisa Msingi wa Kila Kifungo!"ANGALIA UPONE
81 просмотр · 1 год назад
Chuo Cha Gombo
312 подписчиков
81 просмотр · 1 год назад
Maombi haya si ya kawaida! Hii ni sauti ya kiroho iliyobeba moto wa Bwana, ikivunja kila minyororo ya giza, kila kifungo cha shetani, na kufungua roho zilizokuwa zimefungwa kwa muda mrefu. Kama unahisi kuna vizuizi katika maisha yako, kazi yako, familia yako au huduma yako — basi huu ni wakati wa kuungana na maombi haya ya uhuru!
Tazama. Omba. Funguka. 🔥🔥
👉 Usisahau kushare video hii kwa wapendwa wengine ili na wao wafunguliwe!
#MaombiYaKuvunjaVifungo #UhuruKatikaKristo #MotoWaMaombi
🔔 Usisahau kusubscribe kwa mafundisho zaidi ya kiroho na ujumbe wa kuinua maisha yako ya kiimani!
👉 Shiriki video hii na mtu unayemjali – huenda ujumbe huu ukabadilisha maisha yake.
🌟 Mistari ya Biblia ya kuongozwa nayo:
Yoshua 1:8
Zaburi 19:7
Yohana 14:15
📌 Subscribe hapa: [ / @chuochakuhifadhiagombo ]
📌 Follow kwenye Instagram/Facebook: [https://www.tiktok.com/@jokiller29?la...]
📌 Wasiliana nami kwa huduma zaidi au maombi: [+255 785 527 973 whatsupp number 0618247162]