KILA USIKU MTU MMOJA ANAPOTEA NDANI YA MELI HII YA KUTISHA!
Swahili Recap и Swahili Recap Plus
0:00 / 0:00
KILA USIKU MTU MMOJA ANAPOTEA NDANI YA MELI HII YA KUTISHA!
8 627 просмотров · 12 дней назад
Swahili Recap и Swahili Recap Plus
8 627 просмотров · 12 дней назад
safari ya kutisha ya meli ya Demeter, iliyokuwa ikisafiri kutoka Romania kuelekea England bila wafanyakazi wake kujua kuwa walikuwa wamebeba kiumbe hatari sana ndani ya meli hiyo.
Kadiri usiku ulivyokuwa ukifika, matukio ya ajabu yalianza kutokea. Wanyama waliuawa, watu wakaanza kupotea mmoja baada ya mwingine, na hofu ikatawala meli nzima. Baadaye ndipo walipogundua kuwa adui wao alikuwa Dracula, kiumbe cha kutisha kilichokuwa kikijificha mchana na kuwinda usiku.
Je, wafanyakazi wa Demeter wataweza kuizuia Dracula kufika England, au safari yao itageuka kuwa kaburi lao baharini?
Tazama video hii hadi mwisho kufahamu kilichotokea katika safari ya mwisho ya Demeter.
Usisahau Like, Comment na Subscribe kwa movie recap nyingine za kusisimua kwa Kiswahili.