Перейти к содержимому

ZIARA YA MRAJISI TUNDURU: Mkakati Mpya Wa Kuongeza Uzalishaji Wa Mpunga

Toka zamani Tv

0:00 / 0:00

ZIARA YA MRAJISI TUNDURU: Mkakati Mpya Wa Kuongeza Uzalishaji Wa Mpunga

113 просмотров · 1 дн. назад
Toka zamani Tv
156 тыс. подписчиков
113 просмотров · 1 дн. назад
Mrajisi wa Vyama vya Ushirika Mkoa wa Ruvuma, Bwana Venance Msafiri, amefanya ziara ya siku tatu katika Wilaya ya Tunduru kukagua na kuhamasisha wakulima wa mpunga kwenye skimu za umwagiliaji. Ziara hii imelenga kutatua changamoto kubwa ya upatikanaji wa mbegu bora na vifaa kazi ili kuongeza uzalishaji wenye tija na endelevu. SUBSCRIBE HERE:www.youtube.com/c/tokazamanitv?sub_co... #KilimoChaMpunga #Tunduru #Ruvuma #TAMCU #Ushirika #MbeguBora #Umwagiliaji #HabariZaKilimo