Fahamu yote kuhusu Figo na changamoto zake
AfyaCheck
0:00 / 0:00
Fahamu yote kuhusu Figo na changamoto zake
147 просмотров · 6 месяцев назад
AfyaCheck
5,36 тыс. подписчиков
147 просмотров · 6 месяцев назад
Katika kipindi hiki, AfyaCheck imemtembelea Dr Verus K. Mboneko, daktari bingwa wa figo kwenye hospitali ya Adrikalo Medical Specialized Polyclinic, Upanga Dar es Salaam.Dkt Mboneko anatupatia elimu muhimu kuhusu namna ya kujilinda dhidi ya changamoto za figo.