Перейти к содержимому

SHUHUDIA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKIAPISHWA

Jamvi Online TV

0:00 / 0:00

SHUHUDIA MAKAMU WA PILI WA RAIS ZANZIBAR AKIAPISHWA

1 998 просмотров · 9 месяцев назад
Jamvi Online TV
1,2 млн подписчиков
1 998 просмотров · 9 месяцев назад
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi, amemuapisha Mhe. Hemed Suleiman Abdulla kuwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar. Mhe. Hemed Suleiman Abdulla ameteuliwa kushika wadhifa huo kwa mara ya pili katika Awamu ya Nane ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar. Hafla ya uapisho imefanyika leo, tarehe 08 Novemba 2025, Ikulu Zanzibar, na imehudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo viongozi wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, viongozi wa dini, Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama kutoka SMZ na SMT, pamoja na wanafamilia.