Перейти к содержимому

OLE KISONGO NA OLE PARSELIAN WAUNGANA KUIMARISHA UMOJA WA JAMII YA MAASAI NA KUWEKA TOFAUTI PEMBENI.

ASALO TV Online

0:00 / 0:00

OLE KISONGO NA OLE PARSELIAN WAUNGANA KUIMARISHA UMOJA WA JAMII YA MAASAI NA KUWEKA TOFAUTI PEMBENI.

4 720 просмотров · 4 месяца назад
ASALO TV Online
7,7 тыс. подписчиков
4 720 просмотров · 4 месяца назад
Mwenyekiti wa maria Izack ole kisongo ambaye kwa mila na desturi za kimasai ni msimamizi mkuu wa Boru inayoratibu na kusimamia ufunguaji na ufungaji wa rika engipaata amekwenda kutambua na kutambulisha uongozi wa Purka ambao unasimamia Mila na desturi za kimasai Engipaata Oorngesher chini ya kiongozi oleparselian. hii ni hataua ya kwanza ya upatanisho katika kutambua kazi za uongozi ndani ya jamii na pili kuepusha mgongano wa nafasi zilizojitokeza hivi karibuni. Hii ni ni matokeo ya kikao kilichofanyika chini ya wizara ya habari utamaduni sanaa na michezo iliyosimamiwa na naibu katibu mkuu ili kuleta suluhu ndani ya jamii ya kimasai. kikao kitakachofuata ni ya tatehe 20 mwezi huu Ofisi ya baraza la halmashauri ya jiji la Arusha kuweka maadhimio ya nafasi za uongozi watakaowakilisha jamii ya maa.kwenye ngazi za kijamii hadi taifa kwa muujibu wa utaratibu unaoongozwa na mila ya kimasai ukifuata mtiririko wa uongozi wa koo mbili laizer na mollel uongozi wa rika na viongozi walezi.